Ajira Plus – Nafasi Za Kazi
TwigaBytes
25 Nov 2021
17 Jan 2024
24.0
4.4
10,000+
Description
TABLE OF CONTENTS
Ajira Plus ni app bora na yakipekee inayokuwezesha kupata nafasi za kazi mpya, kutengeneza CV yako, kujifunza jinsi ya kujibu maswali ya interview, kupata dondoo za namna sahihi ya kutuma maombi ya kazi kupitia mtandao pamoja na kupata scholarships.
Lengo kuu la app hii ni kuhakikisha kwamba sio tu unatuma maombi ya kazi, bali pia maombi yako yanakubaliwa. Ndio sababu tumekuwekea kila kitu unachohitaji kama vile uwezo wa kutengeneza cv kupitia app, kujifunza maswali na majibu ya interview kupitia app pamoja na dondoo zingine nyingi ili uweze kukubaliwa maombi yako pindi unapokutana na nafasi za kazi mpya.
Vipengele muhimu vya programu hii:
1. Nafasi za kazi
Kupitia app hii utaweza kutuma maombi ya kazi kutoka katika nafasi za kazi mpya zinazowekwa kila siku. Kupata nafasi za kazi mpya, fungua app kisha bonyeza sehemu ilioandikwa Jobs kisha chagua kazi unayotaka kutoka katika nafasi za kazi zilizo orodheshwa.
2. Scholarship (Udhamini wa masomo)
Ajira Plus inakuwezesha kupata udhamini wa masomo (scholarship) kutoka kila kona ya dunia kama vile India, Canada nk. bure. Kupata udhamini wa masomo fungua app ya Ajira Plus kisha chagua Scholarships.
3. CV Maker
CV ni muhtasari mfupi ulioandikwa wa kazi, sifa na elimu ya mtu. Kupitia app yetu ya Ajira Plus inayokuwezesha kupata nafasi za kazi mpya kila siku utaweza kutengeneza CV yako bure kabisa. Kutengeneza CV yako, fungua app kisha bonyeza CV Maker na ufuate maelekezo.
4. Maswali na majibu ya Interview(Mahojiano)
Ikumbukwe kua lengo la app hii sio tu kukupatia ajira mpya au nafasi za kazi mpya, bali ni kuhakikisha unapata kazi. Ndio sababu kuu tumekuwekea maswali ambayo yanaulizwa mara nyingi katika interview(mahojiano) pamoja na majibu yake. Kupata maswali haya pamoja na majibu yake fungua app yetu kisha chagua Interview Q&A
4. Dondoo
Ni muhimu sana kufahamu dondoo muhimu ambazo zitapelekea maombi yako ya kazi kupitia mtandao yakubaliwe. Kwakulitambua hilo, tumekuwekea dondoo mbalimbali ambazo zitakusaidia kuhakikisha maombi yako ya kazi yanakubaliwa. Kupata dondoo hizi, fungua app kisha chagua Tips inayopatikana mkono wa kushoto kutoka chini katika kurasa ya kwanza ya app
5. Taarifa
Kupitia app yetu ya ajira plus ambayo inakuwezesha kupata nafasi mpya za kazi au ajira mpya utapata taarifa kila tunapoweka nafasi za kazi mpya kwenye app yetu. Endapo usingependa kupata taarifa kila tunapoweka nafasi za kazi mpya, unaweza kuzuia app kutoa taarifa kwa kufungua app kisha bonyeza vidoti vitatu vinavyopatikana mkono wa kulia juu kabisa. Kisha bonyeza Notifications. Baada ya hapo utabonyeza sehemu ilioandikwa show notification. Hakikisha sehemu io imezimwa baada ya kua umebonyeza.
Unasubiri nini?
Pakua app yetu sasa uweze furahia kutapa nafasi za kazi mpya pamoja na faida nyingine nyingi zilizotajwa hapo juu.
Je una ushauri, swali au maoni?
Wasiana nasi kwa njia ya email kupitia: [email protected]
Views: 9
What's new
App namba moja kwa Ajira & Scholarships Tanzania!